mirror of
https://github.com/opensourcepos/opensourcepos.git
synced 2026-03-13 04:33:30 -04:00
* Fix typo in stock location translation * Fix typo in stock location key * Fix typo in Language Receivings files stock_location * Add Swahili-TZ Language Files * Add Swahili-KE Language Files
72 lines
5.1 KiB
PHP
72 lines
5.1 KiB
PHP
<?php
|
|
|
|
return [
|
|
"add_minus" => "Hisa ya kuongeza au kutoa.",
|
|
"allow_alt_description" => "Ruhusu Maelezo Mbadala",
|
|
"bulk_edit" => "Hariri kwa Wingi",
|
|
"cannot_be_deleted" => "Haiwezekani kufuta Kadi za Zawadi ulizochagua, moja au zaidi tayari ina mauzo.",
|
|
"cannot_find_giftcard" => "Kadi ya Zawadi haijapatikana.",
|
|
"cannot_use" => "Kadi ya Zawadi {0} haiwezi kutumika kwa mauzo haya: Mteja si sahihi.",
|
|
"card_value" => "Thamani",
|
|
"category" => "Kategoria",
|
|
"change_all_to_allow_alt_desc" => "Ruhusu maelezo mbadala kwa zote.",
|
|
"change_all_to_not_allow_allow_desc" => "Usiruhusu maelezo mbadala kwa zote.",
|
|
"change_all_to_serialized" => "Badilisha zote kuwa katika Mfululizo",
|
|
"change_all_to_unserialized" => "Badilisha zote zisiwe katika Mfululizo",
|
|
"confirm_bulk_edit" => "Una uhakika unataka kuhariri Kadi za Zawadi ulizochagua?",
|
|
"confirm_delete" => "Una uhakika unataka kufuta Kadi za Zawadi ulizochagua?",
|
|
"confirm_restore" => "Una uhakika unataka kurejesha Kadi za Zawadi ulizochagua?",
|
|
"cost_price" => "Bei ya Jumla",
|
|
"count" => "Sasisha Hisa",
|
|
"csv_import_failed" => "Uingizaji wa CSV umeshindikana.",
|
|
"current_quantity" => "Kiasi Kilichopo",
|
|
"description" => "Maelezo",
|
|
"details_count" => "Maelezo ya Hesabu ya Hisa",
|
|
"do_nothing" => "Usifanye chochote",
|
|
"edit_fields_you_want_to_update" => "Hariri sehemu unazotaka kwa Kadi za Zawadi ulizochagua.",
|
|
"edit_multiple_giftcards" => "Hariri Kadi za Zawadi Nyingi.",
|
|
"error_adding_updating" => "Kuongeza au kusasisha Kadi ya Zawadi kimeshindikana.",
|
|
"error_updating_multiple" => "Kusasisha Kadi za Zawadi kumesindikana.",
|
|
"generate_barcodes" => "Tengeneza Misimbomstari",
|
|
"giftcard" => "Kadi ya Zawadi",
|
|
"giftcard_number" => "Nambari ya Kadi ya Zawadi",
|
|
"info_provided_by" => "Taarifa imetolewa na",
|
|
"inventory_comments" => "Maoni",
|
|
"is_serialized" => "Kadi ya Zawadi ina Nambari ya Seriali",
|
|
"low_inventory_giftcards" => "Kadi za Zawadi zilizobakia kidogo",
|
|
"manually_editing_of_quantity" => "Hariri Kiasi kwa Mkono",
|
|
"must_select_giftcard_for_barcode" => "Lazima uchague angalau Kadi moja ya Zawadi kutengeneza misimbomstari.",
|
|
"new" => "Kadi Mpya ya Zawadi",
|
|
"no_description_giftcards" => "Kadi za Zawadi bila Maelezo",
|
|
"no_giftcards_to_display" => "Hakuna Kadi za Zawadi za kuonyesha.",
|
|
"none" => "Hakuna",
|
|
"none_selected" => "Hakuna Kadi za Zawadi zilizochaguliwa kuhariri.",
|
|
"number" => "Nambari ya Kadi ya Zawadi lazima iwe nambari.",
|
|
"number_information" => "Nambari ya Kadi ya Zawadi",
|
|
"number_required" => "Nambari ya Kadi ya Zawadi ni kiashiria kinachohitajika.",
|
|
"one_or_multiple" => "Kadi za Zawadi",
|
|
"person_id" => "Mteja",
|
|
"quantity" => "Kiasi",
|
|
"quantity_required" => "Kiasi ni kiashiria kinachohitajika. Tafadhali funga (X) kughairi.",
|
|
"remaining_balance" => "Thamani iliyobaki ya Kadi ya Zawadi {0} ni {1}!",
|
|
"reorder_level" => "Kiwango cha Kuagiza Tena",
|
|
"retrive_giftcard_info" => "Pata Taarifa ya Kadi ya Zawadi",
|
|
"sales_tax_1" => "Kodi ya Mauzo",
|
|
"sales_tax_2" => "Kodi ya Mauzo 2",
|
|
"serialized_giftcards" => "Kadi za Zawadi katika Mfululizo",
|
|
"successful_adding" => "Umefanikiwa kuongeza Kadi ya Zawadi",
|
|
"successful_bulk_edit" => "Umefanikiwa kusasisha Kadi za Zawadi ulizochagua",
|
|
"successful_deleted" => "Umefanikiwa kufuta",
|
|
"successful_updating" => "Umefanikiwa kusasisha Kadi ya Zawadi",
|
|
"supplier" => "Msambazaji",
|
|
"tax_1" => "Kodi 1",
|
|
"tax_2" => "Kodi 2",
|
|
"tax_percent" => "Asilimia ya Kodi",
|
|
"tax_percents" => "Asilimia za Kodi",
|
|
"unit_price" => "Thamani ya Rejareja",
|
|
"upc_database" => "Kanzidata ya Misimbomstari",
|
|
"update" => "Sasisha Kadi ya Zawadi",
|
|
"use_inventory_menu" => "Tumia Menyu ya Hisa",
|
|
"value" => "Thamani ya Kadi ya Zawadi lazima iwe nambari.",
|
|
"value_required" => "Thamani ya Kadi ya Zawadi ni kiashiria kinachohitajika.",
|
|
]; |